myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji818][emoji818]Baadhi ya watu hufikiri kuwa ili uweze kuweka akiba ni lazima uwe na pesa nyingi, lakini ukweli ni kuwa kuweka akiba ni maamuzi tu na siyo kuwa na pesa nyingi.
Kapigwa plasta...Bashe kuwa waziri kunapunguza bench la kukosoa serikali katika wabunge wa CCM
Kapotea huyuuWapi Nsamaka
Mgumuuuuuuuuuuuu [emoji351][emoji351][emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]
Nitakula ban. Yupo uchi kabisa !!!Mkuu tupia hata kamoja tuone
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kama namuona manzi wangu anavyofanyaga
Duh,watu anafukua makaburiJanuary Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni. Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA. Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli. Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki. Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au...www.jamiiforums.com
Aaaa wapi. Umeumia !!!
Hivi vyeo ni dhamana poti. Hakuna mwenye umiliki.Makamba ametumbuliwa?
[emoji3591] Liverpool ikiitoa sijui timu gani nahamia Yanga (Haji Manara). Na kweli Liverpool ikafanya yake. Mpaka leo bado yuko Simba.January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni. Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA. Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli. Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki. Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au...www.jamiiforums.com
Kukosoa kwenyewe huko ni kiinimacho tu. Utakuwaje mkosoaji wa serikali na wewe umo mumo humo? Wakosaoaji wa kweli huwa wanatoka nje ya kunguku ili waone vizuri kinachoendelea. Ulaya huko na kwenye mademokrasia yaliyokomaa ndicho kinachofanyika. Huku kwetu ni viinimacho tu na wakati mwingine ni sehemu ya michezo ya kisiasa tu.Bashe kuwa waziri kunapunguza bench la kukosoa serikali katika wabunge wa CCM
Bado wewe mtoto mpendwa wa baba [emoji36][emoji36]
Mwingine aliyelewa madaraka huyu !!!
Jumong [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Wapenzi wa Korean drama mnamjua vizuri huyuView attachment 1158745