Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

0a6227bc-e4ad-43f0-9c24-e6953079c624.jpeg
 
Poti kwani wewe hujakamisimo haka Kazaramo? [emoji16][emoji16]
Kakijaga huwa kananipa wakati mgumu sana japo uzi huwa unachangamka balaa. Tuendelee kukaombea huko kaliko ili Mungu Aendelee kukabariki pamoja na wapendwa wa kenyewe. Ni kacheshi sana na hakana shida na mtu. Tatizo kubwa ni TRM [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom