Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_4920.JPG
 
Kakijaga huwa kananipa wakati mgumu sana japo uzi huwa unachangamka balaa. Tuendelee kukaombea huko kaliko ili Mungu Aendelee kukabariki pamoja na wapendwa wa kenyewe. Ni kacheshi sana na hakana shida na mtu. Tatizo kubwa ni TRM [emoji16][emoji16]

Tunaomba tu siku isiyo na jina kaibuke kutoka huko mafichoni kaliko! [emoji16][emoji16]
 
Jamaa Katoa video ya wimbo unaitwa how do you sleep siku mbili view 18M humo ndiyo anacheza kama mwanamke kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akina Elton John wenzake angalau wako ngangari kidogo. Yeye naona walishamlegeza nati zote kabisa. Hopulesi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Subiri mzee wa iPhone akija [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Back
Top Bottom