Nipe link ndiyo nitaamini. Tomaso miye [emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi ni mahiri kwenye nyanja ya uvuvi jirani. Huu ujuzi niliupatia pale Ferry, tulikuwa tunachumu class kila kipindi cha Siasa/Civics kinapoanza tunakwenda kupata tuition ya uvuvi pale pahala! [emoji16][emoji16]

[emoji23][emoji23]
Kitu kama hii inaweza fanya mwanaume auze shamba na aende akaishi kwa plot maisha yake yoye.πππ .
Mambo