Nsamaka amekwama kwenye jukwaa la mieleka? Nsamaka huyu dadangu huyu amekwama kwenye mieleka? Hebu msinitanie bana [emoji16][emoji16]
Kwangu pia ni salama kabisaHofu kwako tu
Mimi nipo safi sana, Namshukuru Mungu
We be twerkin'
View attachment 1159192
Wanajuana wenyewe wanasiasa huko jirani. Sisi wengine Siasa hatutaki hata kuisikia, sio wito wetu! [emoji16][emoji16]
Jamani hahahaha
Vipi baridi bado linahusika?Kwangu pia ni salama kabisa
Nipe link ndiyo nitaamini. Tomaso miye [emoji16][emoji16][emoji16]Pita huko utamkuta akiwachamba "New Day ati ni mashoga", hasa yule mwenye mbavu nene anayependa kukata mauno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
Kamdebwedo hako ng'wanawane [emoji16][emoji16][emoji16]Wacha weee[emoji23][emoji23]
Hii miti siyo albino. Ninayo mahali nimeipanda na sasa ni mikubwa tu. Kinachofanyika ni kuwa mara moja kwa mwaka inajipiga mkorogo na gamba kuu kuu linaanguka inakuwa myeupe pee kama inavyoonekana hapo. Ni miti mizuri na inatoa maua yanayovutia sana.
Nipe namba yako nikuhakikishie kuwa ipo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji14][emoji14][emoji14] namba mbili hakunaga