Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika hali ya kushangaza, utafiti uliofanywa na jopo lililoongozwa na Profesa Kelly Reynolds wa Chuo cha Zuckerman College of Public Health kilichoko ndani ya Chuo Kikuu cha Arizona, unataja maeneo hayo ya mwili. Baadhi ya maeneo hayo ni haya yafuatayo
 
Macho
Kama jicho lako halikulazimishi kulishika labda pale unatoa uchafu wa aina yoyote kwa namna inayofaa, hakikisha hauligusi kabisa. Hii ni kwa sababu mikono yetu inabeba mambo bakteria ambao wanaweza kudhuru macho yetu taratibu na kudhurika bila kufahamu haraka.
 
Back
Top Bottom