Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ile kitu hainaga uzee jamani
Tena wakati mwingine watu wazima hawa mambo yao ni fayaaa
tapatalk_1518085270146.jpeg
 
Uingereza nao naona wamepata Trump wao. Talk about "...the end of an empire". Huwezi kuamini kuwa nao waliwahi kutawala dunia nzima...

Yaani sasa hivi ni vurugu mechi, halafu ana support kubwa kweli kweli. Mwenyewe anakwambia; piga ua garagaza, lazima ifikapo October wawe wamejitoa kwenye EU! [emoji16]
 
Back
Top Bottom