Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uingereza nao naona wamepata Trump wao. Talk about "...the end of an empire". Huwezi kuamini kuwa nao waliwahi kutawala dunia nzima...

Yaani sasa hivi ni vurugu mechi, halafu ana support kubwa kweli kweli. Mwenyewe anakwambia; piga ua garagaza, lazima ifikapo October wawe wamejitoa kwenye EU! [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…