JizazMnatoooooo [emoji16][emoji16][emoji16]
Haya mambo bana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1160832
As men, hali yetu inazidi kuwa ngumu...Jizaz
😁😁😁 Jamani....Marahabaa King [emoji3][emoji3]..vipi hali yako?
Kwakweli tunakutana na upinzani mkali kila kukicha, bila ubunifu hali ni mbaya sanaAs men, hali yetu inazidi kuwa ngumu...
Inabidi kuwa creative....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Usiku mwema King[emoji16][emoji16][emoji16] Jamani....
Hali nzuri sana, nakuona
Kutoa upinzani hapo inabidi ujipange sawa sawa. Imagine dubwana lile halichoki, haliishiwi pumzi wala halipigi bao. Mtu anajisulubu anavyotaka halafu siku ukikutana naye unafanya mbwembwe zako zoooote anakucheki tu umalize uondoke ajisulubu. Kwa kweli hali ni mbaya [emoji16][emoji16]Kwakweli tunakutana na upinzani mkali kila kukicha, bila ubunifu hali ni mbaya sana
🙏🙏 Asante sana binti mstaarabuUsiku mwema King
Ndio muda wangu BroSis mbona mapema?
Majukumu ama?
Ni sawa na kupigana na ukuta tu..... OMG!Kutoa upinzani hapo inabidi ujipange sawa sawa. Imagine dubwana lile halichoki, haliishiwi pumzi wala halipigi bao. Mtu anajisulubu anavyotaka halafu siku ukikutana naye unafanya mbwembwe zako zoooote anakucheki tu umalize uondoke ajisulubu. Kwa kweli hali ni mbaya [emoji16][emoji16]
Haya lala salama sis [emoji1545][emoji1545]Ndio muda wangu Bro