Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

464014595_24826.jpeg
 
*******CHEKA***
*******KIDOGO**
Sungura na sokwe walikutana kanisani kisha walikaa kiti kimoja. Baada ya maombi mchungaji akasema "kila mmoja amgeukie jirani yake na amwambie wewe ni mzuri". Sungura akamgeukia sokwe alipomwangalia 2 Sungura akaangua kicheko na kumwambia mchungaji "njoo umwambie wewe mimi staki zambi ya kusema uongo"
 
Back
Top Bottom