mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kwema mkuu mambo niajeMzee wa liver kwema
Kwema mkuu mambo niajeMzee wa liver kwema
Nipo njia kuu mkuu lakini lazima ubaki kuwa ukweli kuwa na mwanamke mmoja ni sawa na kuwa na nchi ya mfumo wa chama kimoja cha siasa tu vyama vingi ndio mpango
Kwema mkuu mambo niaje
Hahahaha salama kabisaSalama Esta?
#UkikuaUtazikimbiaHiziShikamoo
Wasalimie sana huko broBasi ni kheri kama u mzima.
#UkikuaUtaonaInavyokua
Hamna kitu poti. Huu ni wa kula wakati unakwenda kukatembelea Kazaramo kako unakokapelekeaga maua na magauni ya bluu. Na kwenyewe kakikuchenjia gemu na miuno feni waweza chemsha...Huu msosi unarudi na Sato tena wale wakubwa kabisa na wale Samaki wengine wenye vichwa vigumu kabisa(Gogogo). [emoji3][emoji3] Halafu kasia unapiga vizuri tu!
Kishafika Man U, atasifiwa mpaka anenepeView attachment 1160763
STOPA, KISIKI, SKANGAGA, NGANGARI, [emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
Kumbe jamaa ni fundi adi nje ya uwanja
Ubaya wako huwa hupendi kabisa kushea hizi pilau. Hata ile nyingine ya Amber Rutty akiambarutiwa upya pia uligoma. Unazingua !!!Hila mkuu najaribu kupitia naona kama kuna photo shop wacha niangalie kwa umakini zaidi
Vizee vichawi hivi dah !!!