Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ule hivi ndo uende kupiga makasia ziwani poti kweli utarudi na samaki? Huu ni msosi wa kuendea mjini kununulia roses na magauni ya bluu tu indeed wallahi [emoji16][emoji16]

Huu msosi unarudi na Sato tena wale wakubwa kabisa na wale Samaki wengine wenye vichwa vigumu kabisa(Gogogo). [emoji3][emoji3] Halafu kasia unapiga vizuri tu!
 
Eti liUwoya limevujisha mkanda likikamuliwa laivu. Ajabu mkanda wenyewe haupatikani kirahisi...
View attachment 1160593

Eti na Mama Mchungaji..
View attachment 1160594

Ila wewe mgumu haya mambo hayakuhusu unless kama unataka kuwapoza waathirika na lori la maua, magauni ya kijani, mvinyo ghali, viatu vya mchuchumio; na mengineyo [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahhaha nimecheka sana SYB bhana
 
Hila mkuu najaribu kupitia naona kama kuna photo shop wacha niangalie kwa umakini zaidi
 
Boris Johnson amechaguliwa kuwa kiongozi mpya wa chama cha Conservative katika kura iliyopigwa na wanachama na atakuwa waziri mkuu mpya wa Uingereza.
Amemshinda mpinzani wake Jeremy Hunt kwa kura 92,153 dhidi ya 46,656.
Meya huyo wa zamani wa mji wa Londona anapokea wadhifa huo kutoka kwa Theresa May kesho Jumatano.
Anakwenda kwenye kasri ya malkia asbh kujitambulisha na kuwa Pm naona UK ikijitoa EU
 
Back
Top Bottom