Kweli Dunia bila unafiki haizunguki, Wadau wanatembelea huko wakiwa faragha ila wakija mbele za watu wanajifanya watakatifu na hizo mambo wanapiga vita kwa nguvu zoteEksividios ndiyo mtandao unaotembelewa sana hapa Bongo halafu wanafuatia wazee wa ponihabu. Unaambiwa hata Insta wanasubiri sana. Unafiki tu lakini watazamaji wa pilau wamejaa kibao [emoji16][emoji16]
Hahah! Wewe jamaa bhanaPorn ndio pilau? Duu! [emoji3][emoji3]