Ndo umeamua kunitusi kimya kimya eeeeh?Hahahaha salama k
Hahahaha salama kabisa
Zimefika bro.Wasalimie sana huko bro
#😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sipendi sana shuka zinavyopenda kutokufunika miguu, au sijui ni miguu inatoka shukani.
Miguu yenyewe tu ndio huwa haitulii ndio maana shuka linakimbiaSipendi sana shuka zinavyopenda kutokufunika miguu, au sijui ni miguu inatoka shukani.
#HuwaSipendiSana