mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu hayo mambo hayana mtakatifu manabii na mitume wote tuliona walipata shida na mautamuKweli Dunia bila unafiki haizunguki, Wadau wanatembelea huko wakiwa faragha ila wakija mbele za watu wanajifanya watakatifu na hizo mambo wanapiga vita kwa nguvu zote