mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu hayo mambo hayana mtakatifu manabii na mitume wote tuliona walipata shida na mautamuKweli Dunia bila unafiki haizunguki, Wadau wanatembelea huko wakiwa faragha ila wakija mbele za watu wanajifanya watakatifu na hizo mambo wanapiga vita kwa nguvu zote
Hahah!Mkuu hayo mambo hayana mtakatifu manabii na mitume wote tuliona walipata shida na mautamu
ππππππNapata ukakasi na timu iliyocheza na simba jana na kushinda goli nne wachezaji wanacheza na makoti mh embu wawe serious watafute timu imara mambo hamsa hamsa hayataisha Champion leagueView attachment 1161193
Duh ppti mbona unatuchanginyi mara tukuone mhenga mara andasiksitiiiniPorn ndio pilau? Duu! [emoji3][emoji3]
Shida ni mama mchungaji amepiga maombi imepotea ghafla hewani hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sijui lolote mzee, baada ya kuona hilo tamko lako usiku hii ndio nimeamua nitulie tu maana mjumvi kama wewe ukitoa kauli juu ya haya maswala hatuwezi kubisha
Hahahaha poti bhanaMimi sina ujuvi wowote wa hayo mambo aisee. Nipe mtumbwi na kasia; hapo umemaliza! [emoji3][emoji2]
Kama mie vileee hahahaKweli Dunia bila unafiki haizunguki, Wadau wanatembelea huko wakiwa faragha ila wakija mbele za watu wanajifanya watakatifu na hizo mambo wanapiga vita kwa nguvu zote
Kwa hiyo mkuu ametuingiza cha kike kununua Yale madegeHii biashara ngumu sana !!!
Sawa bossHahahaha morning Hawachi mzigo umetengenezwa sio halisi feki kabisa at least hile ya gwaji boy ilikuwa real one
#Nikiiendelezanitaonekanasinamaadili
Hahahaha aiseee#SisiWakubwaHataUkiishiaHapoTushaujuaMwisho
Kwa hiyo mkuu kulikuwa hakuna sababu ya kununua airbus kwa TzKweli kabisa Mkuu hata mashirika makubwa duniani mengi yanastruggle kupata faida.
HahahahaBombadia zetu sijui zinaendeleaje [emoji16][emoji16][emoji16]
Watakuja na takwimu zimeingiza faida sana kumpraise mkuluBombadia zetu sijui zinaendeleaje [emoji16][emoji16][emoji16]
Yegomasika kishasema kapitia vyanzo vyake hajapata hayo madini kwahiyo ni Official kua hazipoShida ni mama mchungaji amepiga maombi imepotea ghafla hewani hahahaha
Hii saizi yangu napenda figure kama hii
πππKama mie vileee hahaha
#utamuhaunabaunsa
πππππππHahahaha aiseee
Na kwako pia mkuuSalam kwenu