Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kupata maendeleo ya mpira wa miguu Tz itachukua muda sana kwa ujinga huu timu tangu mwaka 1936 hata uwanja wa mazoezi haina Mo anajenga uwanja wa kisasa anakuja shit hole waziri anaongea pumba so pain
Nilikua busy sana leo mchana sijafatilia yaliyojiri, nikumbushe kauli zake umeanza kuweka page ya ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…