Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndio maana naomba jibu poti leo nijue kama ab=a+b
Poti angalia tena mstari wa mwisho hiyo katuni ya mtu amevishwa gloves ,viatu na miwani umenipata
IMG-20190719-WA0004.jpeg
 
Iko hivi poti
Kiatu + mtu ambaye amevaa viatu ,gloves,miwani ×miwani
Unapata jibu very simple lakini iko very trick ndio maana tunasema 90% watu watakosea jibu
Kwenye group letu la O'levo hesabu hii watu wamebishana siku nzima mpaka lekchara mmoja wa hesabu kaja kukata mzizi wa fitina kwa kudadavua kwa kituo ndiyo wakaelewana. Poti hajaangalia vizuri japo naye namwaminia ni mkali wa namba kwa sababu Electrical Engineering tena MIT (chuo cha kwanza duniani kwa 2019) siyo lelemama...
 
Hahahaha ameniangusha watu tuliokulia ziwani tuna akili ya kuzaliwa tu
 
Back
Top Bottom