mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kwenye group letu jibu lililokubaliwa nadhani ni 144. Mambo ya BODMAS aka MAGAZIJUTO [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaha ameniangusha watu tuliokulia ziwani tuna akili ya kuzaliwa tu
Njoo nikunyandue [emoji16][emoji16][emoji16]Neno gani huwa la kwanza kumwambia mpenzi wako akikusamehe??
Iko hivi poti
Kiatu + mtu ambaye amevaa viatu ,gloves,miwani ×miwani
Unapata jibu very simple lakini iko very trick ndio maana tunasema 90% watu watakosea jibu
[emoji443][emoji443][emoji443]Wi a ze waniWe are, we are, we are
[emoji8]
Kumyandua ni lazima ata akikataa kukusamehe..🙂🙂Njoo nikunyandue [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu bado jibu sio sahihiKwenye group letu jibu lililokubaliwa nadhani ni 144. Mambo ya BODMAS aka MAGAZIJUTO [emoji16][emoji16][emoji16]
Poti hahahaha nipo konyagi mida hii kesho nitakudadavuliaPoti hivyo vitu vyote nimeviona, Kwa hiyo hapo sentesi ya kihesabu unaiandika vipi? Ni abc*mtu au a+b+c+mtu? Naomba jibu tafadhali! [emoji16][emoji16]
Ila kweli. Hata kama hajakusamehe unanyandua kibishi bishi na utamu ndo unazidi balaa [emoji16][emoji16]Kumyandua ni lazima ata akikataa kukusamehe..[emoji846][emoji846]
Liverpool wangekuwa wanacheza halafu wanakoswa koswa magoli ungekuwa tayari ushaminya makende kamanda. Konyagi zikikuelemeaga mpaka unakosa fokasi [emoji16][emoji16][emoji16]Poti hahahaha nipo konyagi mida hii kesho nitakudadavulia
😄 😄 Kwanza wakati analeta za ovyoIla kweli. Kama hajakusamehe unanyandua kibishi bishi na utamu ndo unazidi balaa [emoji16][emoji16]
Hahahaha mkuuLiverpool wangekuwa wanacheza halafu wanakoswa koswa magoli ungekuwa tayari ushaminya makende kamanda. Konyagi zikikuelemeaga mpaka unakosa fokasi [emoji16][emoji16][emoji16]