Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Kobe ashawahi chaza mpira(football)?kama sio basi nae ni fan kama wewe tu
Binti Mpole unataka kutuambia Legend Kobe
Umfahamu ???
Kobe ashawahi chaza mpira(football)?kama sio basi nae ni fan kama wewe tu
Huyu mtu ni mnoma sana Mkatalunya, sema basi tu watu wachache hawaelewiMpaka legend Kobe kakubali miziki mimi na wewe Mkatalunya ni Nani mpaka tukatae
Hujajibu swali banaBinti Mpole unataka kutuambia Legend Kobe
Umfahamu ???
Hujajibu swali bana
Kacheza football au la?
Huyu mtu ni mnoma sana Mkatalunya, sema basi tu watu wachache hawaelewi
Hahahahha jamanNgoja nika google basi sawa Binti Mpole
Hapa fresh kabisa bint mpole,Nipo poa kabisa. Habari za ulipo?
Aaah bado mudaHapa fresh kabisa bint mpole,
Mwagia mgomba ukue bwana