Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Aaah wanazi wa Messi bana
Sawa sawa,,hizi makala zako zingine ni notes tosha kwetu kwa tunaosoma bado,,ubarikiwe sana!!!Ndege huhama kutoka sehemu mmoja kwenda nyingine. Sababu za uhamiaji huo ni kutafuta chakula, maji, mabadiliko ya hali ya hewa na kuharibiwa mazingira yao. Pia hutafuta sehemu za kuzaliana.
AiseeeeNafeli wapi? [emoji144]
#Hiibaridiachakabisa
#imenichosha
[emoji1][emoji1][emoji1] nini kinasababisha unapoteza rangi ya mtume.!Asante kwa kuniona maana naona nazidi kuwa mweusi kama msudani
Kweli wewe ni furaha
Amen.Shukran bwana jeziSawa sawa,,hizi makala zako zingine ni notes tosha kwetu kwa tunaosoma bado,,ubarikiwe sana!!!
Safi sana bro, vipi kipande hicho?Hope upo salama bro?
Hahahah bro,,tatzo haupo pamoja na King,Asante kwa kuniona maana naona nazidi kuwa mweusi kama msudani
Kweli wewe ni furaha
Sijui unakwama wapi tu kwakweliNafeli wapi? [emoji144]
#Hiibaridiachakabisa
#imenichosha
Ni nini hii bro?Hii kama ni kweli imetokea bhasi Karma is a bi*ch!!!View attachment 1162203
[emoji28][emoji28][emoji28]Aiseeee
#kunawatuwazembehuko
#mtotomzurihutakiwikulalamikabaridi
#msimuwakilimohuu
Huku salama bro,tupo tuSafi sana bro, vipi kipande hicho?
Hahah! Kwamba wadau wanayumba?Aiseeee
#kunawatuwazembehuko
#mtotomzurihutakiwikulalamikabaridi
#msimuwakilimohuu
I seeHuku salama bro,tupo tu
Huu ni mkutano wa chama cha CUF ulifanyika jumanne huko Zenji,na hayp ndio mafuriko yake yalivokuwa,,kuna Prof Lipumba hapoNi nini hii bro?
Ntatafuta twisheni[emoji16]Sijui unakwama wapi tu kwakweli
#Ndiourudikwenusasa
#Tokahukobaridini