Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20190724_230508.png
 
Kwenye group letu la O'levo hesabu hii watu wamebishana siku nzima mpaka lekchara mmoja wa hesabu kaja kukata mzizi wa fitina kwa kudadavua kwa kituo ndiyo wakaelewana. Poti hajaangalia vizuri japo naye namwaminia ni mkali wa namba kwa sababu Electrical Engineering tena MIT (chuo cha kwanza duniani kwa 2019) siyo lelemama...
Kumbe Poti ni EE,,,alipopita ntakuwa napafahamu,,, Yegomasika unasalimiwa na Mkilamweni
 
Back
Top Bottom