Nafeli wapi? [emoji144]
#Hiibaridiachakabisa
#imenichosha
Aiseeee
#kunawatuwazembehuko
#mtotomzurihutakiwikulalamikabaridi
#msimuwakilimohuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hashtag[emoji91][emoji91][emoji91][emoji28][emoji28][emoji28]
#Wazeembempakabasi
[emoji125][emoji125]
My God!Huu ni mkutano wa chama cha CUF ulifanyika jumanne huko Zenji,na hayp ndio mafuriko yake yalivokuwa,,kuna Prof Lipumba hapo
Eehee! Hapo hapo kwenye hiyo mechi sasa ndio utajua nani na baba na nani mamaNtatafuta twisheni[emoji16]
Niko naangalia mechi ya marudio ya Mechi Man city na Man U, sijui ya lini hii....
[emoji1][emoji1][emoji1] nini kinasababisha unapoteza rangi ya mtume.!
Hii kama ni kweli imetokea bhasi Karma is a bi*ch!!!View attachment 1162203
Mpaka sasa Bila...kipindi cha piliEehee! Hapo hapo kwenye hiyo mechi sasa ndio utajua nani na baba na nani mama
#Nipematokeo
Wacha kabisa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hashtag[emoji91][emoji91][emoji91]
Hahahah bro,,tatzo haupo pamoja na King,
#kaakarbunauaridiunukie
Ntatafuta twisheni[emoji16]
Niko naangalia marudio ya Mechi Man city na Man U, sijui ya lini hii....
Oooh! JamaniiiHiyo rangi ya mtume sina nimejaribu njia tofauti tofauti nionekane, lakini wapi hola
#asantekwakuniona
Kweli anaoneshwa malipo yake bado mapema kabisa, mafuriko ya vitoto πHali tete bro,
Usaliti sio mzuri siku zote!
Mbona City leo kawalegezea sana hao jamaa, yaani mpaka kipindi cha pili bilaMpaka sasa Bila...kipindi cha pili
#hiimechindoitaamua
#karibuManUunastahiliFurahaKamajinalako
πππππππMkatalunya tupo chama moja lakini anapiga sana back pass wakati nimeomba chumba na Beki hazikabi
#msalimiehijabujananimejaribulakinisijamuona
Huo ni mkutano wa chama cha CUF ulifanyika jumanne Zenji,hapo anaonekana Prof Lipumba na hayo ndio mafuriko jinsi ilivyokuwa kwenye huo mkutano wake bro!!Bro mbona habari nusu nusu
City tayari kashapata GoliMbona City leo kawalegezea sana hao jamaa, yaani mpaka kipindi cha pili bila
#Kaziahapohapompakaujuehatimayako
HahahWacha kabisa[emoji1][emoji1][emoji1]
Ninge' upoo?
Hahah! Usiwaamini hao Man U fans wamekua kama wanasiasa tu siku hizi#KweliEeh
#DaveandaaDaktari[emoji13]