Mimi nipo kwenye hiyo 1% aisee.
Ugumu wangu umestiki kwa mmoja [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Masud kipanya ulikuwa ni mtazamo wake, kama inawezekana kwa watu kama kina lebron James, billget wenye pesa na ushawishi itashindikana vipi kwangu mimi wa mbagala ambaye sina pesa wala ushawishi
Dhana ya masoud ukiifafanua zaidi kama anataka kutuambia kwamba wanawake ni kwa ajili ya starehe tu, of which kwa Dunia ya leo haiwezekani
Wachapaji nje wengine ndiyo mpaka wanaua wanaowatuhumu hawa ni wanafiki sana, kama utakuwepo moto nafikiri watakuwa kuni
Kujitoa inawezekana lakini una chance kubwa ya kupata maumivu ukidondokea sehemu ambayo si salama
Hapo umenena...[emoji16][emoji16][emoji16]... Unaongezea idadi ya wagumu poti! Ila haya mambo ni magumu sana, tena kwa pande zote mbili. Ukiingia yakakushinda tafuta uchochoro ulale mbele.
Usihofu bro, maandishi hayana shida kabisa.Kama kweli Hongera Mkuu endelea kukaza
Na Mimi ni muhimu wa inawezekana, sema usichapiwe tu, na bahati mbaya ikitokea umechapiwa jitahidi usijue
Sorry kwa maandishi yangu
Usivuke nje kwenda kwenye tamaduni zingine huko kusaka mifano. Haitasadifu sana kwa sababu ni jamii tofauti. Tubakie hapa hapa kwenye mila na tamaduni zetu hizi. Na tuseme ukweli tu bila kumung'unya maneno.
Mtazamo wa Masoud una ukweli kwa kiasi kikubwa sana na unaakisi vyema hali ilivyo katika jamii zetu nyingi. Mpaka leo mvulana wa Kisukuma anakua akijua kuwa kuwa na wapenzi wengi ndiyo ishara ya uanaume hasa na urijali. Sijui mila za Wanyakyusa huko zinasemaje ila naamini katika makabila mengi vijana wa kiume wanakua na makuzi ya aina hiyo ndiyo maana wengine wala huwa hawaoni kama kuchepuka ni kosa kubwa kivile. Na ni hawa hawa ambao wamefundishwa pia kuwa mwanamke hapaswi kamwe kuwa na multiple partners; na ikitokea wakagundua kuwa hilo limetokea basi wanaumia sana.
Wanaojitolea kabisa kabisa afe kipa afe refa masika au kiangazi wao ni mwanamke mmoja na kutochepuka kamwe wapo (we ulishasema ni mmoja wao) lakini ni wachache. Na mambo haya yatachukua muda kubadilika lakini kwa sasa bado yamekaa kinadharia zaidi.
Hongera sana bro. Na huo ndiyo uanaume wa kweli sasa. Inabidi mtu unafika mahali unasema this is it; na unasimama imara kupambana na vishawishi. Na ukiwa umepata mtu ambaye anakuelewa msimamo wako huu na akaenda nawe sawa aisee ni raha sana. Kila la heri bro na hongera sana !!!Mimi nipo kwenye hiyo 1% aisee.
Ugumu wangu umestiki kwa mmoja [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kuanzia leo nimeshaacha bro [emoji16][emoji16][emoji16]Naunga mkono hoja, hii kauli kama una mtu lazima uwaze mara mbili mbili kwamba ina ukweli kweli??
Wabeja sana.Hongera sana bro. Na huo ndiyo uanaume wa kweli sasa. Inabidi mtu unafika mahali unasema this is it; na unasimama imara kupambana na vishawishi. Na ukiwa umepata mtu ambaye anakuelewa msimamo wako huu na akaenda nawe sawa aisee ni raha sana. Kila la heri bro na hongera sana !!!
Hapo umenena...
Mi nshalala mbele tshaaa...
Vinginevyo waweza kufa kabla ya siku zako...and for what?
Ndiyo maana hata hawa wanaocharanga mapanga wakati mwingine siwashangai sana. Nawashangaa tu inapogundulika kuwa nao walikuwa na michepuko huko nje. Ndiyo maana inakuwa ni lazima kuyaangalia mambo haya katika upana wake kijamii na kimalezi..
Usihofu bro, maandishi hayana shida kabisa.
Nadhiri inatutaka kubaki njia kuu.Kama ambavyo kuna wanaoamini kuchapiwa hakuepukiki, sisi tunaamini kunaepukika...
Kuachana nazo ndiyo kimbembe sasa kwa sababu siyo suala la kuamka tu na kusema hii mila tunaiacha. Mila ya kukeketa mabinti, kwa mfano, imekuwa ikipigwa vita kwa miongo kadhaa na mamilioni mengi yameshatumika kujaribu kuiangamiza ila bado inaendelea. Ni vigumu sana kubadilisha mtazamo wa jamii na ni process inayohitaji juhudi za vizazi kadhaa.Sasa hizi ambazo ni tamaduni zetu sikatai ni za kuzienzi na kuzitunza, lakini tukizifanyia tathmini na kuona hazitusaidii tusiwe na shingo ngumu kugeuka.
Kuna mila na desturi zetu ambazo zinaonekana tu hazifai, hatunabudi kuachana nazo