Ata wakiweka picture za maboyfriends wao kwa profile pictures hatatuzuia kuingia kwa messenger. Sometimes sisi kama wanaume tunasukumaga ata zile milango za kuvuta.Posting your man is not going to stop us [emoji57]we have stolen from supermarkets with CCTV cameras[emoji23][emoji23][emoji23]
Pia huku masaa yanasonga kusonga. 23:08Usiku umeingia kwetu
Wanaume wa Dar wana vituko kweli kweli. Ikibidi tu ahamie Moro kwenye mdundo aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Mzee Kilomoni maswali yake makubwa ni haya.
1.Mo ni mfadhiri wa Simba au ni Mmiliki wa Simba?
2.Kama ni Mmiliki huo Umiliki umekamilika lini? hizo 49% kazipata lini? Pesa zake ziko wapi?
3.Kama yeye ana 49% na Club ina 51 % kwanini yeye ndio Rais wa Club na yeye ndio anateua Mtendaji mkuu wa Timu ?
4.Na kwanini Mo awe mmiliki wa Timu kwa 49% ? huyu mwenye 51% ataitwa nani?
5.Ni kwanini Mo anajiita Mmiliki wa timu kwa sababu tu ya kusajili wachezaji na kulipa mishahara? hilo tu linatosha kuwa mmiliki?
6.Kwanini Yanga waligoma kumkodisha Manji timu kwa bilion 30 kwa miaka 10 wakati Simba imekubali kuuza timu jumla kwa bilion 20 ambazo hata hazijulikani ziko wapi?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wanaume wa Dar wana vituko kweli kweli. Ikibidi tu ahamie Moro kwenye mdundo aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ebana eehe
#hataweweunafaidihijabunarangiyamtumesimchezo
[emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] full kunukia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ning Bwana..
Wala haujakosea!!
Ni fullu mzuka
Hahaha[emoji16][emoji16][emoji16] Ana expiriensi ya kutosha huyu!!
Ameshajua kategoriz kwa kuangalia tyuu!
Huku salama mno. Natumaini hata huko kwako Mungu Mwenye Upendo Angali nanyi.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Shemeji habari ya mahangaiko huko Mbagala?
Mungu ni mwema maisha yanaendelea vile Mungu aonavyo inampendeza
Bro hahaJizazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni from head to toe indeed wallahi mane lavusi mi [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1162605
Heshima ndiyo muhimu kwa ndoa.UNAPOKUWA umeingia kwenye ndoa na mwanamke, utambue ana wanaume wengi wanaomtaka lakini huenda anawakatalia kwa kuwa yuko na wewe.