Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Si ndiyo kanona. Sasa unamwacha tena au ndo unazidisha upendo? Wanaume wengine bana !!![emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1162806
Yaani nitafute hela,nihangaikie maisha ili yawe mazuri, naye Mungu asivyo penda dharau,anibariki kwa kunipa hela ya kula na pa kulala pazuri, yaani choo kipo karibu na chumbani, namaanisha waifu ana puu huku amekaa... HALAFU ASINENEPE!!!
Hiiiiiiiiiii.....
Raha ya mke awe na shukrani, anone, tako lijae, nguo zimbaneeee... Chupi ziwe zina mchosha asiwe ana vaa..... Jamani jamaniii mimi.... Aimisi yuuu tipwa tipwa wangu...
 
Kwenye haya mambo ni kila mtu na falsafa zake (binafsi) na mamizigo aliyobebeshwa na jamii. Mfumo dume wanaume umetuharibu. Tunaumia tukichapiwa wakati sisi michepuko na kuchapa nje tunachukulia ni kama halali yetu.

Kama unachapa nje kwa nini ikuume sana ukichapiwa? Kama siyo unafiki ni nini?
We kaka mbona una akili hivi na busara, mvi tayari nini kichwani?

A real gentleman only can think like this. Kudos
 
.
Screenshot_20190725-221701_WhatsApp~2.jpeg
Screenshot_20190725-221713_WhatsApp~2.jpeg
 
Yaani nitafute hela,nihangaikie maisha ili yawe mazuri, naye Mungu asivyo penda dharau,anibariki kwa kunipa hela ya kula na pa kulala pazuri, yaani choo kipo karibu na chumbani, namaanisha waifu ana puu huku amekaa... HALAFU ASINENEPE!!!
Hiiiiiiiiiii.....
Raha ya mke awe na shukrani, anone, tako lijae, nguo zimbaneeee... Chupi ziwe zina mchosha asiwe ana vaa..... Jamani jamaniii mimi.... Aimisi yuuu tipwa tipwa wangu...

Ngoja niitafute miwani yangu niisome uzuri hii mambo! [emoji16][emoji16]
 
Kwema bro, sijui wewe.

Vipi ule mzigo umeupata unifowadie au nawewe koneknesheni zako zimekuangusha.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Nilimtegemea ankoo Davet aniunganishe bahati mbaya wife Nsamaka akanifumania nikiwa nasubiria stata... Naweza kusema nina "pua konekisheni" kwa kweli
Nimewakumbuka sana ndugu zangu, ni maisha tu yamenikaba...
 
Haya bro, tupo pamoja.

Nikiipata nitakukumbuka kwenye ufalme wangu.
 
Back
Top Bottom