Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Be consistent; one goal at a time’ one dream at a time.
Salama mkuu?Keep in mind that success doesn't happen overnight.
#umeonaeeeeh
Anadai pesa ama?
Hoja yake hasa ni nini?
Kulingana na Masoud Kipanya hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja tu maishani mwake. Unaichukuliaje kauli hii? Kwa hali ya sasa hasa kwenu vijana inawezekana kweli kijana aoe na atulie kabisa kabisa na mke wake asichape nje no matter what? Naamini inawezekana lakini ni asilimia ndogo sana labda 1%.
Hawa wanaochapa nje hawana haki ya kulalamika wakichapiwa. Cha ajabu wachapa nje ndiyo wanaongoza kwa kuwa na wivu wa kupindukia. Hata hawa wanaochinja wachumba na wake zao kila leo ukichunguza vizuri utakuta wana michepuko kibao huko nje.
Ila kama umejitoa kabisa kabisa na uko faithful 100% ukichapiwa bila shaka utaumia sana. Na una haki ya kufanya hivyo !!!
Yuko ndani ya mtoto wa baba
Mimi nipo kwenye hiyo 1% aisee.
Ugumu wangu umestiki kwa mmoja [emoji2089][emoji2089][emoji2089]