andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Salaam.Salam kwenu wote
Kumekucha
Salaam.Salam kwenu wote
andjul ndugu yangu Habari yako? nimekukumbuka mkuu
Dahhh!! Nisamehe sana ankoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumekukumbuka pia na juzi nilikuita humu ila haukutokea
Pole na majukumu
Heee heeee!!!!!
Aah! Usijali ankooDahhh!! Nisamehe sana ankoo
Zamani mtoto (sijui kama wapo hata sasa) ilikuwa kawaida kuto kuitika anavyo itwa kisa tu alikuwa anacheza na akaitikia wito. Siku hiyo mama akiamka vibaya mtoto anajikuta anaambulia kibao cha mgongo au hata kurushiwa ukuni wa moto... Nimekuja baada ya kuitwa, sema tu sikuitika kwa sauti
Hahah! Kwamba ukitegemea hicho kifunguHeee heeee!!!!!
Ukitaka hashtag anayo tumia (#kuchapiwa...) SHIMBA itimie bila kigugumizi jaribu kukitegemea hicho kifungu....
Mwanaume ni kupambana hadi kifo kikufike...
Maisha ya kijijini ndugu yangu.Aah! Usijali ankoo
Nilikukumbuka juzi maana ulipotea sana hapa kijiweni
Wasalam Myoya.Salam kwenu wote
#hakunamwanaumemwenyehelaakawanakibamiaHahah! Kwamba ukitegemea hicho kifungu
#Kuchapiwahakutakuacha
Kweli wanaume tumeumbwa mateso
Unataka kulelewa Davy?Hahah! Kwamba ukitegemea hicho kifungu
#Kuchapiwahakutakuacha
Kweli wanaume tumeumbwa mateso
Sana, hasa ukizingatia vitimbwi tulivyomfanyia.Safi sana ila ukarimu wa jamaa mkubwa mpaka unaogopesha
Nothing elseWhat else
😂😂😂😂😂. Aisee!#hakunamwanaumemwenyehelaakawanakibamia
#pambanaupateheshimayandoa
Au anamipango yake ya baadae nini?Sana, hasa ukizingatia vitimbwi tulivyomfanyia.
Nothing else
Jamaa alikua Fundi sana![]()
Michelangelo; Genius aliemchallenge vikali Leonardo Da Vinci kwenye kazi za Sanaa
Good day wakuu! Baada ya kupona dhoruba la kunyimwa Uhuru wa kubanguana bongo....tuendelee kupeana vitu adimu na adhimu kwa afya ya ubongo..maandishi yenye kuprovoke thought and intellectual curiosity.. Leo nina mood ya kuzungumzia ishu za art kwenye kipindi cha Renaissance era ya...www.jamiiforums.com