Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daah poa sana tena kama leo nimekua na siku nzuri sana, majukumu yamepungua?
N vizuri kwako hongera...

Yapungue wapi Davy ..
unnamed.jpg
 
#KuchapiwaHakuepukiki bro...

Na ukiona mwanamke bado anawasiliana na ma ex wake basi jua kuwa viporo vitapashwa tu. Na hii ndiyo sababu wanaume wengi huwa wanakwepa kuoa single mothers kwa sababu mwanamke kama hana msimamo jamaa litakuwa linapasha kiporo tu kama kawa...

Na wewe unakwepa kuoa single Mother’s bro ???
 
Back
Top Bottom