moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Njaa inamsumbia sana huyu mzee, ahirumiwe tu
DAR: MZEE KHAMIS KILOMONI AKAMATWA NA JESHI LA POLISI - Khamis Kilomoni aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Simba amekamatwa leo kwa tuhuma za kuitisha kusanyiko nyumbani kwake bila kibali - Leo Julai 25, 2019, Mzee Kilomoni aliitisha mkutano na Waandishi wa Habari, nyumbani kwake maeneo ya Kinondoni Jijini Dar - Hata hivyo Askari wa Jeshi la Polisi walifika na kumchukua kabla ya mkutano huo na Wanahabari kuanza - Hivi karibuni Mzee Kilomoni aliingia kwenye mgogoro na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji