Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwenye haya mambo ni kila mtu na falsafa zake (binafsi) na mamizigo aliyobebeshwa na jamii. Mfumo dume wanaume umetuharibu. Tunaumia tukichapiwa wakati sisi michepuko na kuchapa nje tunachukulia ni kama halali yetu.Kimtazamo ndiyo heshima yenyewe ilipo, japo unaweza ukachapiwa na bado ukaigiziwa heshima mi naona ukichapiwa inapunguza vitu flani kwenye uhusiano wako sana sana ukijua
Ngono is not that Important I agree
Kama unachapa nje kwa nini ikuume sana ukichapiwa? Kama siyo unafiki ni nini?