Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Lile ombi lako kuhusu #Hijab nililifanyia kazi lakini wala hukua na Habari naona ukanipita hivi
Ni kizungumkuti bro. Nilitaka nirushe kale kakibwagizo kangu ila nikakumbuka mmenikataza [emoji16][emoji16][emoji16]Semina za kisasa za ndoa zinavyochangia kuharibu ndoa
Modern marriages. Zimejaa must knows nyiingi lakini migogoro ndio inazidi tu kila siku. Jibu la ndoa ni moja tu, nalo ni chungu kama mchunga: mpango wa Mungu ulikuwa mke asiwe amewahi kuonja dyudyu kabla ya ndoa. Mume amjue mke akiwa bikra, hili lina maana kubwa sana. Kufanywa hovyo kabla ya...www.jamiiforums.com
Hahah!Mkatalunya ukipokea pasi kama zile na kuzifanyia kazi unavunga sio unashangila kama ndiyo kwanza una score
#mmadrdistaanafaidihijab
😀😀😀😀Mie kama official follower wako nakuunga mkono
#ankomilionisikupite
Singa singa la IPTL amepiga tukio la kimya kimya sana