Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yeah, kale kamsemo katawatisha kina ningendako .

Uzi unawataka vijana wajikite kwenye "kitu silidi" na hapo ndipo mtanange ulipo kwa dunia ya sasa.

Kama ambavyo wasiochepuka ni wachache ndivyo ilivyo kwa silidi.
Niaje bro?habari za majukumu

Niliisoma hii,jamaa kaandika vitu vingi na vya muhimu sana hasa kama kijana ukiwa bado hujaingia kwenye ndoa ni uzi mzuri..

Tatzo katumia mfumo dume sana kufikisha ujumbe kitu ambacho sio poa

Na kuhusu slidi kwa dunia ya sasa hivi labda huyo mwanamke umuumbe kwa udongo,kifupi uslidi sio kigezo cha mke mwadilifu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…