myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Amani itawale jioni yetu..
Legend of all time
DC tu fujo zote hizo aisee vijana tunafail wapi sijui?Bro huyu jamaa ni DC wa Hai,,ni kijana ni wale wale kama kina Bashite,kifupi kalewa madaraka,,ana matukio mengi anayafanya huku Hai vikiwemo vitisho,kuvamia hotel alfajir na mitutu ya bunduki akishikiza kulipwa kodi aliyoagizwa na mkulu
Inao...ila kwenye ujumbe wake aliouweka kamkandamiza sana mwanamke..Bro, huku ni kwema kabisa, namshukuru Mungu.
Yeah, katumia mfumo dume ila haudhanii kwamba ndoa ina mfumo dume kimsingi?
Pia uslidi haugarantee uaminifu ila unapunguza uwezekano wa mtu kuwa mtulivu.
Ni hatari mkuuDuh!
Bila kumung'unya maneno...DC tu fujo zote hizo aisee vijana tunafail wapi sijui?
Umri wa kugombea urais kwenye katiba usiguswe kabisa maana akipewa nchi kijana tutaina mengi ya ajabu
Ndoa ndoano...![]()
Neno la Leo - Kwa wanaodhani ndoa ni rahisi, si kweli
Ndoa ni kazi kama ambavyo tunafanya kazi nyingine. Jitihada, mipango na mikakati ya kufanikisha kazi zetu ndizo pia zinahitajika katika taasisi ya ndoa. Watu wengi huolewa wakiamini kwamba ndoa ni ‘kasha’ flani zuri lenye mahitaji na vitu vizuri ambavyo wamekuwa wakitamani sana katika maisha...www.jamiiforums.com
Kipindi cha nyumba hapo,vijana tulipiga sana kelele kuhusu kupewa madaraka,,,baada ya vijana kuanza kupewa madaraka hali imekuwa tete kuanzia kwa kina Masha,Bashite na wengineo....DC tu fujo zote hizo aisee vijana tunafail wapi sijui?
Umri wa kugombea urais kwenye katiba usiguswe kabisa maana akipewa nchi kijana tutaina mengi ya ajabu
Hahah! Hii kauli kumkandamiza mwanamke inanikumbusha uchambuzi wa vitabu shule...Inao...ila kwenye ujumbe wake aliouweka kamkandamiza sana mwanamke..
Kuna swali nilitaman sana unijibu kuhusu huu uslidi,,,ila acha nipotezee bro
Nikweli kabisa bro, naona bado tunakua na mambo mengi ya ujana hatujayakamilishaBila kumung'unya maneno...
Vijana kwenye uongozi wengi wenu hamfai !!!
Mada za ndoa hasa katika upande wa malalamiko zimekua nyingi sana siku hizi ata ukisikiliza radio au kuangalia Tv issue ni ndoa tu![]()
Neno la Leo - Kwa wanaodhani ndoa ni rahisi, si kweli
Ndoa ni kazi kama ambavyo tunafanya kazi nyingine. Jitihada, mipango na mikakati ya kufanikisha kazi zetu ndizo pia zinahitajika katika taasisi ya ndoa. Watu wengi huolewa wakiamini kwamba ndoa ni ‘kasha’ flani zuri lenye mahitaji na vitu vizuri ambavyo wamekuwa wakitamani sana katika maisha...www.jamiiforums.com
Mmh! Vijana bado sanaKipindi cha nyumba hapo,vijana tulipiga sana kelele kuhusu kupewa madaraka,,,baada ya vijana kuanza kupewa madaraka hali imekuwa tete kuanzia kwa kina Masha,Bashite na wengineo....
kifupi hatufai hatuna weledi na mambo ya uongozi japo sio wote wanaolewa madaraka.
Singa singa la IPTL amepiga tukio la kimya kimya sana
😂😂😂 sureHahahaha hakufanya matangazo kabisa
#chundabadiametuthibitishiaasheichoonachoko
👍 👍Bila kumung'unya maneno...
Vijana kwenye uongozi wengi wenu hamfai !!!