Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ulitaka kusuguliwa mgongo tu? What happened? [emoji16][emoji16][emoji16]
Haijambo kabisa mkuu pande za wapiSafi kabisa mkuu, Famili haijambo huko?
MashaKipindi cha nyumba hapo,vijana tulipiga sana kelele kuhusu kupewa madaraka,,,baada ya vijana kuanza kupewa madaraka hali imekuwa tete kuanzia kwa kina Masha,Bashite na wengineo....
kifupi hatufai hatuna weledi na mambo ya uongozi japo sio wote wanaolewa madaraka.
IndeedThe Great hawezi kufa kwa kusukumwa na Lulu
Kama kawaSpid imepungua?
Tupo mkuu weekend inaanzaWadau mko wapi
[emoji23][emoji23][emoji23] sure
Naona hakutaka makelele mitandaoni
#NasikiachemicalAliumiasana
Hahahaha mkuu mimi sipo hukoShemeji uniq njoo. Kuna ujumbe wako huku [emoji16][emoji16]
hahahaaa...Ulitaka kusuguliwa mgongo tu? What happened? [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1163331
Mkuu shimba watu wanapokuwa kwenye madaraka wanajisahau sana"Kama hamna mikate kuleni keki"
Kauli ya kijinga ya malkia Antoinette wa Ufaransa akiuambia umma uliokuwa ukiandamana kupinga ukosefu wa chakula na hali ngumu ya maisha. Ambacho hakujua ni kuwa hali ilikuwa ni mbaya na watu hawakuwa na uwezo wa kununua hizo "keki" alizokuwa akizidharau.
Umma haukusahau kauli hii na mapinduzi yalipofanikiwa malkia huyu mwenye kiburi na mumewe mfalme waliuwawa kikatili mbele ya halaiki...