Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Nani kakudanganya wakubwa wanafaidi bora ubaki kwenye udogo mpendwa tuulize sisi wahenga hakuna kufaidi huku.
Mbona mnakuwa wazito wa kuelewa sizungumzii umri
Umri ninao wa kutosha sana mpaka wa kuwa na wajukuu
Wakubwa wanafaidi sana