Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Nani kakudanganya wakubwa wanafaidi bora ubaki kwenye udogo mpendwa tuulize sisi wahenga hakuna kufaidi huku.
🤣🤣🤣Unawashwawashwa???Roho inaniwasha sana Miss Fraggy kwanini kila siku wakubwa wafaidi wao Tu
Sawa mkuuMbona mnakuwa wazito wa kuelewa sizungumzii umri
Umri ninao wa kutosha sana mpaka wa kuwa na wajukuu
Wakubwa wanafaidi sana
Mi nafaidi aisee...Maisha yenyewe mafupi....Nani kakudanganya wakubwa wanafaidi bora ubaki kwenye udogo mpendwa tuulize sisi wahenga hakuna kufaidi huku.
Nakuaminia kamanda wangu [emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]Hahah! Noma sana bro
🤣🤣🤣Unawashwawashwa???
Hongera dadakeMi nafaidi aisee...Maisha yenyewe mafupi....
Sawa mkuu
👊👊👊😀Nakuaminia kamanda wangu [emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]
Asante Dada 'akeHongera dadake
🤔Sio kama unavyo niita weweUko powa lakini Hawachi, au Mpendwa au Dear kama anavyokuita capitalpool
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Uko powa lakini Hawachi, au Mpendwa au Dear kama anavyokuita capitalpool
Wew na huyo mwenzio wote lenu moja.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji848]Sio kama unavyo niita wewe
Unazungumzia nini funguka kijana...Mbona mnakuwa wazito wa kuelewa sizungumzii umri
Umri ninao wa kutosha sana mpaka wa kuwa na wajukuu
Wakubwa wanafaidi sana