Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hujawahi kuniita dear wewe kuwa mkweli.
Unazungumzia nini funguka kijana...
Sio kunung'unika tu ...
Kibaya zaidi huwa ziwezi kufukua makaburi ila wew Cole Williams Ulishawahi kuniita dear,hani, sweet bila kusahau mpendwa usishangae na Mwengine akiniita.Sikumbuki Mkuu