Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

69c9401b-7047-47bd-b278-162d7991c418.jpeg
 
Katika ombwe hilo, ni vigumu sana kwa viongozi wakuu wa nchi masikini kutilia umakini na uzito unaotakiwa kwenye masuala ya uhifadhi na utunzaji wa mazingira. Hivyo kuhangaika na mambo mengine ambayo yanaleta faida za haraka na kutatua changamoto nyingi za wananchi.;hivyo kwa kuwa jambo la namna hiyo halipo kwenye akili na ajenda za viongozi wakuu, maswala ya kuwekeza katika uhifadhi endelevu linachukua muda sana hadi kuja kuleta faida tarajiwa
 
Kama hakuna uwekezaji maana yake hata ufuatiliaji haupo, na kama kuna uwekezaji mkubwa pia ufuatiliaji mkubwa unakwepo. Kwa kukosekana kwa mambo hayo katika nchi masikini kumesababisha udhafu katika usimamizi wa sheria, na ufuatiliaji wa mambo muhimu kama ya utafiti na uhifadhi wa wanyamapori.
 
Kwasababu ya udhaifu huo, maliasili zetu muhimu zimekuwa zikipeperushwa na ndege, meli, magari na bandari zetu, viwanja vyetu vya ndege na barabara zetu zimekuwa njia za zikisafirishia maliasili zetu muhimu kwenda kwa matajiri wakubwa kwenye nchi za nje. Hii ndio sababu katika nchi masikini ujangili wa wanyamapori umekithiri sana. Hadi nchi hizi masikini zije kuwa sawa na kuamua sasa zinawekeza vya kutosha katika sekta hii, inaweza isitokee au inaweza kuja kuwa tumeshachelewa sana.
 
Back
Top Bottom