Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Wanawake mkiona maisha kwenu yamekuwa magumu sana panueni AKILI na sio MIGUU.
Vipi mkuu. Leo unataka kukesha nini??Saturday
YopWork for a cause, not for applause. Live life to express, not to impress
Sana .Weekend inasonga mbele kwa kasi
HahahahaWanawake mkiona maisha kwenu yamekuwa magumu sana panueni AKILI na sio MIGUU.
Nipo kiwanja kimoja hivi nasikiliza live band nitakeshaVipi mkuu. Leo unataka kukesha nini??
MUNGU apewe sifa na atukuzwe kwa kutupea siku hii.Jumamosi
Pia mimi niko na kitu one hour ivi ndiyo nilale..Nipo kiwanja kimoja hivi nasikiliza live band nitakesha
Nipatie namba yake ya simu
Amun RaMUNGU apewe sifa na atukuzwe kwa kutupea siku hii.
Hahahahaha pamoja mkuuuPia mimi niko na kitu one hour ivi ndiyo nilale..