mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Weekend
Mida ya wanga03:36
Hahahaha ujambo mamie tulikusema hapa post million lazima uje karibu sana lakini siku hizi bila connection hupati kituNavizia post ya 1m [emoji3][emoji3][emoji3]
Nani anakumbuka enzi zile humu?
[emoji847]
Mkuu umekeshaUpo mkuu, View attachment 1163945
Nzuri mkuuHabari za jumamosi
Na kwako piaHeri ya weekend
YapSaturday
HahahahaView attachment 1163993
Funny Joke of the day for Saturday, 27 July 2019. [emoji16][emoji16][emoji124][emoji3603][emoji124][emoji3603][emoji124][emoji3603]
Hahahaha mkuu mambo vipi Jana mtu kapigwa saba full list wasisema Fulani hakuchezaSubira haivuti fegi wala haigongi Nyagi, inavuta kheri tu na haijawahi kubugi
Kwenye ugumu tokaDaa, Mkuu! Mvuvi/MGUMU amekuwa mtaalamu tena? [emoji16][emoji16][emoji16]
Nani tena kazaliwa Leo
HahahahaPamoja mkuu nakutakia utupaji nyavu mwema na uwavue wa kutosha ila watoto waache utafungwa
[emoji3]
Hili swali why umeniuliza hapa mpendwa ukuje kule naweza kujibu 😀😀😀😀😀😀Ilikuaje mpendwa?
Mkuu habari za asbh ,habari za jumamosi natumai familia na wanaokuzunguka wote hawajamboNamshukuru Mungu ndugu yangu, habari ya majukumu?
Kumekucha familia ikiwa na nuru njema.
Siku iwe ya baraka kwako[emoji120][emoji120]
Salama mkuu habari ya uzimaKumekucha tena, wasalaam wakuu.