Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Na kweliAisee. Siku hizi modereta wapole hata ban hawagawi hovyo hovyo kama zamani...
Na kweliAisee. Siku hizi modereta wapole hata ban hawagawi hovyo hovyo kama zamani...
So ata ukiretire utaimba kwaya ya KanisaWakuu Taarifa
Sina ubaya nimeutumia wote na umekwisha
0-2Kobe 0- 1 Barcelona
Kumbe kusasisha ndiyo ku-update?Wezesha automatiki sasishi (automatic updates)
Programu mbalimbali za kompyuta hutoa masasisho (updates) mara kwa mara ili kuziba mianya mbalimbali hasa ya kiusalama iliyobainika katika matoleo ya awali. Program kama Microsoft Window, Mozilla na Chrome ni baadhi ya programu muhimu zinazohitajika kusasishwa kwa wakati.
NdioKumbe kusasisha ndiyo ku-update?
Wapi John Cena
Ukimuona anafanya hivi kimbia tu...
View attachment 1164346
Aaaa wapi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wakuu Taarifa
Sina ubaya nimeutumia wote na umekwisha