Like zimefika 1M duuuu
Naona km kazngua, ukiskilza ngoma zake za nyuma na hio ROSTAM kuna utofaut mkubwaVipi hii Rostam unaionaje?
Huwa hazilingani mkuu na sijui hata vigezo wanavyotumiagaNaona zipo tofauti labda
View attachment 1164739
Haya mawe nayo noma
Doh! Kweli mzee naona labda kwakua sasa hivi karelax sana hafanyii njaa kama zamaniNaona km kazngua, ukiskilza ngoma zake za nyuma na hio ROSTAM kuna utofaut mkubwa
Daah!
#MkatalunyaWeweniDJnini?
Watu wa humu wana fujo sana, kule Kenya Talk walitumia siku tatu tu wakavunja recordRekod ya ajabu hapa jamiiforums itawekwa hapa uzi wa likes
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nitakupigia ankoo usijali
#Wachatuwasogezee