Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijui nn kmetokea nw hip hop km imedrop from producers hadi rappers...ngoma nyng zmekua za kawaida sn bro

Nafikiri ni ukiukwaji wa misingi na kuegemea kwenye biashara na ma trap, Elimu imeachwa kabisa na kuigusa jamii kama msingi Mkuu wa Hip Hop badala yake wanafanya zaidi kuburudisha na vichekesho Tu

Angalau kidogo Nash Mc ndiyo anakaza na kutoa vitu vizuri, pia wimbi la kila mtu kujiona anaweza kuwa producer
 
Hahaha Hamna Mkatalunya nikipata free Time ndiyo kitu nafurahia kufanya muziki ni sehemu ya maisha yetu

Nimekuwekea hiyo Mpaka mwisho mkono wa innocent mujwahuki kwenye vinanda, vichwa kibao humo

#nikiwanasikilizangumunaEnjoysana
Naelewa hiyo feeling Mkatalunya

#Midaflanihivimagettoniinakuagapoasana
 
Nafikiri ni ukiukwaji wa misingi na kuegemea kwenye biashara na ma trap, Elimu imeachwa kabisa na kuigusa jamii kama msingi Mkuu wa Hip Hop badala yake wanafanya zaidi kuburudisha na vichekesho Tu

Angalau kidogo Nash Mc ndiyo anakaza na kutoa vitu vizuri, pia wimbi la kila mtu kujiona anaweza kuwa producer
Aisee!!!
Mdogo wangu sikujua kuwa upo dipu sana kwenye hayo mambo
 
Tuliko toka ni mbali...
IMG_20190726_154415.jpeg
 
Back
Top Bottom