nicca frm nowhre
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 394
- 1,518
Sijui nn kmetokea nw hip hop km imedrop from producers hadi rappers...ngoma nyng zmekua za kawaida sn broAkili ilitumika sana kwenye uandishi na Duke alitulia sana kwenye kutengeneza Beat ni shule Tosha hiyo
Poa broHuwa hazilingani mkuu na sijui hata vigezo wanavyotumiaga
Sijui nn kmetokea nw hip hop km imedrop from producers hadi rappers...ngoma nyng zmekua za kawaida sn bro
ππππ[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hiyo post mzee Shimba amemtabiria cocochanel na bila kutarajia mshindi ametimba uwanjani... Unyonge unaniponza sana
Sure! After the trio, nlkua namuona songa, ghetto na p wenge km ndo watatake over sjui nn kmewakwamishaDoh! Kweli mzee naona labda kwakua sasa hivi karelax sana hafanyii njaa kama zamani
Naelewa hiyo feeling MkatalunyaHahaha Hamna Mkatalunya nikipata free Time ndiyo kitu nafurahia kufanya muziki ni sehemu ya maisha yetu
Nimekuwekea hiyo Mpaka mwisho mkono wa innocent mujwahuki kwenye vinanda, vichwa kibao humo
#nikiwanasikilizangumunaEnjoysana
#Numbisaangekuwepotungekaakamati[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
#dontiGivuApu
Aisee!!!Nafikiri ni ukiukwaji wa misingi na kuegemea kwenye biashara na ma trap, Elimu imeachwa kabisa na kuigusa jamii kama msingi Mkuu wa Hip Hop badala yake wanafanya zaidi kuburudisha na vichekesho Tu
Angalau kidogo Nash Mc ndiyo anakaza na kutoa vitu vizuri, pia wimbi la kila mtu kujiona anaweza kuwa producer
Tatizo kubwa ni kutoka kwenye misingi tu, hili tatizo sio kwa Hip hop tu hapa bongo ata hawa wakuimba mziki wao umestack hautembei tena nao wanapenda kutembea na trends kutoka mbele....Sijui nn kmetokea nw hip hop km imedrop from producers hadi rappers...ngoma nyng zmekua za kawaida sn bro
Dooh, [emoji22]Saizi yakoView attachment 1164734
Aaah bado tu jamaniiiiππππ
#dontiGivuApu