Media politics + wadau vinachangia sana bro, siunajua ile kauli yao ya "Fanya mziki wa biashara" kumbe ndio wanapotezaSure! After the trio, nlkua namuona songa, ghetto na p wenge km ndo watatake over sjui nn kmewakwamisha
Au ndo mambo ya media politics
Timu yetu iko [emoji91][emoji91][emoji91]
#kishakujasasa#Numbisaangekuwepotungekaakamati
Unamjua hadi huyu[emoji3]
Aisee!!!
Mdogo wangu sikujua kuwa upo dipu sana kwenye hayo mambo
[emoji134][emoji134][emoji134]View attachment 1164735
Nash yuko vzuri hata Mbishi anafanya poa...Mara nying napenda kusikilza ngoma za kitambo za sku hz nyng miyeyushoNafikiri ni ukiukwaji wa misingi na kuegemea kwenye biashara na ma trap, Elimu imeachwa kabisa na kuigusa jamii kama msingi Mkuu wa Hip Hop badala yake wanafanya zaidi kuburudisha na vichekesho Tu
Angalau kidogo Nash Mc ndiyo anakaza na kutoa vitu vizuri, pia wimbi la kila mtu kujiona anaweza kuwa producer
Mtandao gani huu?
Noma sanaTimu yetu iko [emoji91][emoji91][emoji91]
Naona wanaprovide kiasi tofauti kwenye menu mojaTigo hiyo bro
Unamjua hadi huyu[emoji3]
Asavali umefika uuhhhhh...Aaah bado tu jamaniiii
@akoaanzembiosaiv
Imechezwa lini hii?Noma sana
Hahah! Namjua sanaUnamjua hadi huyu[emoji3]
Kwema kabisa. Kibaridi kinapiga balaaNdugu yangu najitahidi tahidi hivyo hivyo
Kwema hapo Nyumbani ?