Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mastaa hao walitoa maelezo yao kwa polisi kisha kuondoka eneo la tukio. Polisi wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo watekaji walikuwa na pikipiki, lakini mpaka sasa bado hakuna mtu anayeshikiliwa kuhusika na tukio hilo.
 
Polisi waliitwa Platts Lane, NW3, muda mfupi kabla ya saa 11 jioni Alhamisi, Julai 25, baada ya kuripotiwa kuwepo tukio la utekaji. Imeripotiwa watuhumiwa wakiwa na pikipiki walikuwa wanajaribu kumpora gari mtu aliyekuwa anaendesha. Dereva pamoja na abiria wake walifanikiwa kutoroka kuelekea katika mgahawa mmoja eneo la Golders Green, ambapo waliongea na maofisa wa polisi. Hakuna mtu anayeshikiliwa mpaka sasa,” ilisema taarifa hiyo ya polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…