Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
FIFA 19
[emoji818][emoji818]Mimi siwezi mashindano yao, Nipo na pace yangu ile ile
Hahah! Umeichungulia race kama huna pumzi unaweza zima njianiMimi siwezi mashindano yao, Nipo na pace yangu ile ile
Just imagine
#nikatoaofayauzinduzi
#shartiuhamiemanu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Huyu ndo mwanamke wa kuoa sasa. Ukimkorofisha anakudunda unakaa sawa [emoji16][emoji16][emoji16]
Na mimi pia bro...
Tunakuwa tempted ila basi tu, nyumbani ni nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23]