Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mzimu wa Bayer Leverkusen
Katika miaka ya 1990 na miaka ya 2000, Klabu ya Bayer Leverkusen ilijulikana kama ‘wanaume wanaokaribia’ kutokana na tabia yao ya kukaribia makombe lakini wanaambulia patupu.
Wengine waliwatania kwa jina la the Neverkusen Men. Miaka ya 1997, 1999, 2000 na 2002, Bayer Leverkusen ilimaliza katika nafasi ya pili Bundesliga. Mwaka 2000 ilihitaji pointi moja tu kutwaa ubingwa wa Ujerumani lakini ikaambulia patupu.