The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
HahahNakupigia hesabu kali
#mchepukonipomacho hahaha
#Mchepukohusemwii
HahahNakupigia hesabu kali
#mchepukonipomacho hahaha
Bado yumo mule hadi kesho.. na alikuwepo kabla
Hahah! Mpaka sasa Pep hakuna kipya alicholeta City zaidi ya mpira wa burudani tuWenyewe mnajihita The pep Team
Akiwaacha mnarudi nafasi zenu za nane na kumi
SawasawaHumu ndani kuna mwana CCM Kitandakindaki ana jazba kwelikweli lakini tumeishi naye.
Humu kuna mwana CHADEMA Kitandakindaki naye pia tumeishi naye kwa furaha.
Watu wakiwa hapa siku zote wamekuwa tofauti kabisa, wanaongea lugha moja, tofauti zao wanaziacha kwenye majukwaa mengine. Kuwa amani mkuu
#Mmh!Nakupigia hesabu kali
#mchepukonipomacho hahaha
Duh!!!Mizimu ya Warumi Birmingham
Inadaiwa Uwanja wa Soka wa Klabu ya Birmingham City ulijengwa katika ardhi ya mizimu ya Kirumi. Inadaiwa Klabu ya Birmingham imekuwa na mikosi mingi. Msimu wake wa kwanza katika Ligi Kuu uliiona timu hiyo ikishuka daraja. Katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia jukwaa lao kubwa liliungua moto. Winga wa zamani wa Birmingham, Barry Fry alijaribu kuukomboa uwanja huo kutoka katika mikosi kwa kutumia fomula yake binafsi
Asante sana Yego[emoji4][emoji4]Job well done, Davet. Welcome in our hood The Happiness! [emoji122]
Unaweza kuficha kitu ila kikajulikana tu
Wenyewe mnajihita The pep Team
Akiwaacha mnarudi nafasi zenu za nane na kumi